GE2025 Mwenyekiti CCM Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu

GE2025 Mwenyekiti CCM Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 21 Agosti, 2025, kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.

 
Mungu ibariki CCM.

Mungu Mbariki Rais wetu Mama Samia .

Mungu libariki Taifa letu.

Mungu wabariki Wana CCM na watanzania wote wazalendo kwa Taifa letu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mungu ibariki CCM.

Mungu Mbariki Rais wetu Mama Samia .

Mungu libariki Taifa letu.

Mungu wabariki Wana CCM na watanzania wote wazalendo kwa Taifa letu.
Gwajima yupo hapa jukwaani anasubir anauliza umeghairi .
Mtu uliyemaliza la saba umjibu PhD utaweza kweli.
Ah lakini zipo PhD za zawadi pale UDSM
 
Waunganisha cable wakiwa kwenye kikao...
 
Back
Top Bottom