Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kumekuchaa kumekuchaaa, kumbe watu watoto Tanzania nzima wanalipiwa ada na Rais Samia na hamsemi

====
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti CCM Tanga, Ndg. Abdulrahman Abdullah amesema kusema kuna Elimu Bure sio sawa, maana elimu siyo bure maana Samia ndio anatoa hela kwaajili ya watoto wa Kitanzania kusomeshwa. Anasema bila Rais Samia watoto wasingeweza kusoma Dar!
Watz kodi zenu hazina hata maana, mama anakamilisha kila kitu yaani kwa jinsi anavyotupenda!