Lakini kukosoa uongozi sidhani kama ni jambo baya nadhani hapa chama changu kinateleza.Shida ni kuwa ,ukihama CHADEMA unaenda wapi!
Nchi hii ni muhimu Serikali ikafuta vyama vingine vibaki vyama vitatu vikubwa pekee, iwekeze nguvu ya kutosha na vipewe pesa kusaidia Nchi kukuza DEMOKRASIA na maendeleo
Msemaji hajaongelea watu kuhusu kukosa chama,Lakini kukosoa uongozi sidhani kama ni jambo baya nadhani hapa chama changu kinateleza.
Watu waachwe waugulie maumivu wasiwekewe deadline. Unampa mtu kesi ya uhaini kwa kuwa ana maumivu huo ni udikteta.Msemaji hajaongelea watu kuhusu kukosa chama,
Ameongelea majonzi na huzuni ya kushindwa uchaguzi isoisha!
Mbona unatoka nje ya mada ulioianzisha mwenyewe?
Wewe ni mwana CHADEMA au mamluki?Watu waachwe waugulie maumivu wasiwekewe deadline. Unampa mtu kesi ya uhaini kwa kuwa ana maumivu huo ni udikteta.
Mkuu unywe kidogo kesho kazi.Shida ni kuwa ,ukihama CHADEMA unaenda wapi!
Nchi hii ni muhimu Serikali ikafuta vyama vingine vibaki vyama vitatu vikubwa pekee, iwekeze nguvu ya kutosha na vipewe pesa kusaidia Nchi kukuza DEMOKRASIA na maendeleo
Nimeshakunywa maji ya kutosha.Mkuu unywe kidogo kesho kazi.
Ndio kinachoujaza moto wakeMsemaji hajaongelea watu kuhusu kukosa chama,
Ameongelea majonzi na huzuni ya kushindwa uchaguzi isoisha!
Mbona unatoka nje ya mada ulioianzisha mwenyewe?
Hoja ako ina mashikoShida ni kuwa ,ukihama CHADEMA unaenda wapi!
Nchi hii ni muhimu Serikali ikafuta vyama vingine vibaki vyama vitatu vikubwa pekee, iwekeze nguvu ya kutosha na vipewe pesa kusaidia Nchi kukuza DEMOKRASIA na maendeleo
Mawazo tofauti yasiyovumilika ni yapi?Kweli hawa ndio wapewe kuongoza Nchi?
Kuwavumilia wenzao walio na mtazamo tofauti hawawezi.Ni Usaliti kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kanda Ya Kaskazini.Yaani ni lazima uunge mkono uongozi uliopo. Usipofanya hivyo utashughulikiwa.
Kumpa kesi ya uhaini tena?dahMsemaji hajaongelea watu kuhusu kukosa chama,
Ameongelea majonzi na huzuni ya kushindwa uchaguzi isoisha!
Mbona unatoka nje ya mada ulioianzisha mwenyewe?
Mbona lissu akimpinga mwenyekiti wake? Hakujua kwamba kuna siku na yeye atapingwaMawazo tofauti yasiyovumilika ni yapi?
Uchaguzi ulifanyika kwa uhuru mkubwa. Viongozi ambao wengi waliwataka, walikwishapatikana. Kuwakataa viongozi waliopatikana kidemokrasia na kwa kufuata kanuni na taratibu zote za chama, ni kukihujumu chama. Anayehujumu chama ni adui wa chama.
CHADEMA inaongozwa na vibaka na matapeli wa kisiasaMwenyekiti CHADEMA Kanda Kaskazini Wakili Welwel wakati akifungua kikao kazi kilichohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Kamanda John Heche kilichofanyika Siku ya jana Equator Hotel Arusha amesema kuna wanachadema bado wanaugulia maumivu kama vile wamefiwa. Anahoji ni maumivu gani ya mwezi mzima yasiyopona baada ya uchaguzi.
Ametishia kuwashughulikia ikiwemo kuwapa kesi ya uhaini kwenye chama.
View attachment 3246768
Ubabe ubabe tuKweli hawa ndio wapewe kuongoza Nchi?
Kuwavumilia wenzao walio na mtazamo tofauti hawawezi.Ni Usaliti kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kanda Ya Kaskazini.Yaani ni lazima uunge mkono uongozi uliopo. Usipofanya hivyo utashughulikiwa.