Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA, Siha: Chama ni kikubwa kuliko Mbowe na Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Imma Saro, ametoa wito wa mshikamano na uzalendo kwa wanachama wa chama hicho, akisisitiza umuhimu wa kulinda taswira ya CHADEMA kama tumaini la Watanzania.

Saro amehimiza wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya CHADEMA na wanachama kuepuka ushabiki wa makundi na badala yake kuweka maslahi ya chama mbele.

“Nimewasikiliza wapambe, nawasihi kwamba hatuna CHADEMA nyingine na hatuna chama kingine ambacho ndicho tumaini la Watanzania,” amesema Saro kwa msisitizo, akiwataka wagombea kufahamu uzito wa taasisi wanayoitumikia.

Pia, Soma: Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

Akieleza kuhusu umuhimu wa wagombea wawili maarufu wa chama hicho, Freeman Mbowe na Tundu Lissu, Saro amesema, “Habari kubwa kila siku ni hawa watu wawili, na hii ni kwa sababu ni Wanachadema. Kila chombo cha habari ndani na nje ya nchi kinatafuta taarifa kuhusu wagombea hawa wawili. Tafadhali kumbukeni CHADEMA ndio tumaini la Watanzania, fanyeni yote kabisa, ila lindeni taasisi yetu.”

Katika ujumbe wake kwa wapiga kura, Saro amewataka wanachama kutanguliza maslahi ya chama badala ya ushabiki wa mtu binafsi.

“Tufahamu kwamba chama ni kikubwa kuliko Mh. Mbowe na Mh. Lissu,” ameongeza, akisisitiza umuhimu wa kura mbili: moja kwa ajili ya kumchagua Mwenyekiti wa Chama na nyingine kwa ajili ya mgombea urais.

Soma: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

Saro pia amehimiza kuzingatia umoja hata baada ya uchaguzi, akisema, “Kura zikipelea, usihame chama; na ukishinda usiendeleze makundi zaidi, rejesha umoja.”

Kauli hiyo inakuja wakati chama hicho kikiwa katika maandalizi ya uchaguzi wa ndani ambao umekuwa ukizua mijadala mikali miongoni mwa wanachama na viongozi.
IMG_2339.jpeg
 
View attachment 3195131
Ameongea maneno ya hekima sana
 
MShimakamo uwepo wa kumtoa ayatollah
 
Huyu amenena maneno ya busara sana.
Kongole sana kwake.
Huyu ni ndugu na yule mwanahabari Ufoo Saro!!???
 
Chadema wamejisahau kuwa ,mwaka 2025 hakuna, uchaguzi mkuu.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Imma Saro, ametoa wito wa mshikamano na uzalendo kwa wanachama wa chama hicho, akisisitiza umuhimu wa kulinda taswira ya CHADEMA kama tumaini la Watanzania.

Saro amehimiza wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya CHADEMA na wanachama kuepuka ushabiki wa makundi na badala yake kuweka maslahi ya chama mbele.

“Nimewasikiliza wapambe, nawasihi kwamba hatuna CHADEMA nyingine na hatuna chama kingine ambacho ndicho tumaini la Watanzania,” amesema Saro kwa msisitizo, akiwataka wagombea kufahamu uzito wa taasisi wanayoitumikia.

Pia, Soma: Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

Akieleza kuhusu umuhimu wa wagombea wawili maarufu wa chama hicho, Freeman Mbowe na Tundu Lissu, Saro amesema, “Habari kubwa kila siku ni hawa watu wawili, na hii ni kwa sababu ni Wanachadema. Kila chombo cha habari ndani na nje ya nchi kinatafuta taarifa kuhusu wagombea hawa wawili. Tafadhali kumbukeni CHADEMA ndio tumaini la Watanzania, fanyeni yote kabisa, ila lindeni taasisi yetu.”

Katika ujumbe wake kwa wapiga kura, Saro amewataka wanachama kutanguliza maslahi ya chama badala ya ushabiki wa mtu binafsi.

“Tufahamu kwamba chama ni kikubwa kuliko Mh. Mbowe na Mh. Lissu,” ameongeza, akisisitiza umuhimu wa kura mbili: moja kwa ajili ya kumchagua Mwenyekiti wa Chama na nyingine kwa ajili ya mgombea urais.

Soma: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

Saro pia amehimiza kuzingatia umoja hata baada ya uchaguzi, akisema, “Kura zikipelea, usihame chama; na ukishinda usiendeleze makundi zaidi, rejesha umoja.”

Kauli hiyo inakuja wakati chama hicho kikiwa katika maandalizi ya uchaguzi wa ndani ambao umekuwa ukizua mijadala mikali miongoni mwa wanachama na viongozi.
View attachment 3195131
Saccos ya Mzee Mbowe hii
 
ametoa wito wa mshikamano na uzalendo kwa wanachama wa chama hicho, akisisitiza umuhimu wa kulinda taswira ya CHADEMA kama tumaini la Watanzania.❤❤❤❤
 
CHADEMA hakiwezi kua chama kikubwa kuliko familia ya MBOWE
 
CHADEMA sio kubwa zaidi ya Mbowe...aendelee kukunja ngumi tu🐼
 
Back
Top Bottom