johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Atapewa James Mbatia!Labda gwaji boi na mwijaku wote wanagombea kawe mnampa nani hapo.
Hilo jimbo ata mkishinda mtapokonywa kwa nguvu za dora, daslama hii hakuna mpinzan atakaeingia mjengoni.Wakati mwingine hujuma husaidia Ila Kwa sehemu kubwa hazisaidii, Mbowe twende kazi, hujuma zitakuwa ni Nzuri na zenye manufaa ikiwa anayependelewa atachukua Jimbo, na akichukua wote wanaolalama wataumbuka, ikiwa itakuwa kinyume, Lawama zote Kwa Uongozi wa juu
Aache siasa.Hivi huyu Ni wa kushindana na Meya Jacob kweli hata kiutendaji tu.Sinza Ni moja Kati ya maeneo mazuri lakini miundombinu mibovu.Asisingizie Uchaguzi huu.Jacob anaweza hata kuwa mbunge wa Dar mzima.
Sawa wewe msubiri mbunge wako Mtulia hapo kinondoni ndo mtajuwa hizo foleni zakutoka Temeke hadi Tegeta nizakujochosha.
Miundo mbinu ni kazi ya serikali ,yeye alitimiza wajibu wake kwa kuwakilisha kero serikalini ,acha ushamba dogoAache siasa.Hivi huyu Ni wa kushindana na Meya Jacob kweli hata kiutendaji tu.Sinza Ni moja Kati ya maeneo mazuri lakini miundombinu mibovu.Asisingizie Uchaguzi huu.Jacob anaweza hata kuwa mbunge wa Dar mzima.
Najua Ni wajibu wa serikali, lakini yeye hakutimiza wajibu wake ipasavyo.Kwanza Ni diwani wa zamani,sio wa saiz.Lakini kwa Jimbo la Ubungo,Jacob amelitendea haki Sana ukilinganisha na wengine Ndio maana amepata kura nyingi na so Kama jamaa ako anavyotaka kutudanganya kuwa Jaco amependelewa.Miundo mbinu ni kazi ya serikali ,yeye alitimiza wajibu wake kwa kuwakilisha kero serikalini ,acha ushamba dogo
Kwahiyo mnaposema Mbowe hajafanya lolote jimbo la Hai huwa mnadanganya ?Miundo mbinu ni kazi ya serikali ,yeye alitimiza wajibu wake kwa kuwakilisha kero serikalini ,acha ushamba dogo
Aache siasa.Hivi huyu Ni wa kushindana na Meya Jacob kweli hata kiutendaji tu.Sinza Ni moja Kati ya maeneo mazuri lakini miundombinu mibovu.Asisingizie Uchaguzi huu.Jacob anaweza hata kuwa mbunge wa Dar mzima.
[/Ajabu la 9 la dunia , diwani alalamika kudhidwa na meya kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi
Wewe diwani unashindana na meya ,umefanya uamuzi was maana kubali yaisheM'kiti wa CHADEMA Jimbo la Ubungo na Diwani wa Sinza aliyemaliza muda wake, Renatus Pamba amejiuzulu na kutangaza kuhamia ACT Wazalendo kwa alichodai ni ubakaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA hususan mchakato wa kumpata mgombea ubunge jimbo hilo na kudai uongozi wa juu kuwakandamiza wagombea wengine dhidi ya Boniface Jacob
Sa unataka kujilinganisha na Jacob kweli!!? kakuzid mbali ondoka tu!!M'kiti wa CHADEMA Jimbo la Ubungo na Diwani wa Sinza aliyemaliza muda wake, Renatus Pamba amejiuzulu na kutangaza kuhamia ACT Wazalendo kwa alichodai ni ubakaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA hususan mchakato wa kumpata mgombea ubunge jimbo hilo na kudai uongozi wa juu kuwakandamiza wagombea wengine dhidi ya Boniface Jacob