Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CHADEMA Ubungo ahamia ACT Wazalendo kwa madai kwamba CHADEMA kuna ubakaji wa Demokrasia na upendeleo kwa Boniface Jacob

Wakati mwingine hujuma husaidia Ila Kwa sehemu kubwa hazisaidii, Mbowe twende kazi, hujuma zitakuwa ni Nzuri na zenye manufaa ikiwa anayependelewa atachukua Jimbo, na akichukua wote wanaolalama wataumbuka, ikiwa itakuwa kinyume, Lawama zote Kwa Uongozi wa juu
Hilo jimbo ata mkishinda mtapokonywa kwa nguvu za dora, daslama hii hakuna mpinzan atakaeingia mjengoni.
 
Aache siasa.Hivi huyu Ni wa kushindana na Meya Jacob kweli hata kiutendaji tu.Sinza Ni moja Kati ya maeneo mazuri lakini miundombinu mibovu.Asisingizie Uchaguzi huu.Jacob anaweza hata kuwa mbunge wa Dar mzima.

Chama cha demokrasia na maendeleo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sawa wewe msubiri mbunge wako Mtulia hapo kinondoni ndo mtajuwa hizo foleni zakutoka Temeke hadi Tegeta nizakujochosha.

Hata angebaki cuf angeshindwa, sasa ni huku chama kubwa anaweza pata nafasi ingine kuliko kusota bila kujua hatma yake.
 
Aache siasa.Hivi huyu Ni wa kushindana na Meya Jacob kweli hata kiutendaji tu.Sinza Ni moja Kati ya maeneo mazuri lakini miundombinu mibovu.Asisingizie Uchaguzi huu.Jacob anaweza hata kuwa mbunge wa Dar mzima.
Miundo mbinu ni kazi ya serikali ,yeye alitimiza wajibu wake kwa kuwakilisha kero serikalini ,acha ushamba dogo
 
Najua Ni wajibu wa serikali, lakini yeye hakutimiza wajibu wake ipasavyo.Kwanza Ni diwani wa zamani,sio wa saiz.Lakini kwa Jimbo la Ubungo,Jacob amelitendea haki Sana ukilinganisha na wengine Ndio maana amepata kura nyingi na so Kama jamaa ako anavyotaka kutudanganya kuwa Jaco amependelewa.
 
Aache siasa.Hivi huyu Ni wa kushindana na Meya Jacob kweli hata kiutendaji tu.Sinza Ni moja Kati ya maeneo mazuri lakini miundombinu mibovu.Asisingizie Uchaguzi huu.Jacob anaweza hata kuwa mbunge wa Dar mzima.
[/Ajabu la 9 la dunia , diwani alalamika kudhidwa na meya kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi
 
M'kiti wa CHADEMA Jimbo la Ubungo na Diwani wa Sinza aliyemaliza muda wake, Renatus Pamba amejiuzulu na kutangaza kuhamia ACT Wazalendo kwa alichodai ni ubakaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA hususan mchakato wa kumpata mgombea ubunge jimbo hilo na kudai uongozi wa juu kuwakandamiza wagombea wengine dhidi ya Boniface Jacob

Wewe diwani unashindana na meya ,umefanya uamuzi was maana kubali yaishe
 
M'kiti wa CHADEMA Jimbo la Ubungo na Diwani wa Sinza aliyemaliza muda wake, Renatus Pamba amejiuzulu na kutangaza kuhamia ACT Wazalendo kwa alichodai ni ubakaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA hususan mchakato wa kumpata mgombea ubunge jimbo hilo na kudai uongozi wa juu kuwakandamiza wagombea wengine dhidi ya Boniface Jacob

Sa unataka kujilinganisha na Jacob kweli!!? kakuzid mbali ondoka tu!!
 
Back
Top Bottom