Akizungumza kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliofanyika leo Septemba 7, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha cha AFP, Said Said amesema haungi mkono Katiba ya Warioba kwani imepitwa na wakati.
Amependekeza Kamati ya Maridhiano kukaa pamoja na kujenga hoja ya Katiba ili kuweza kuwepo na Katiba itakayoleta muafaka
Amependekeza Kamati ya Maridhiano kukaa pamoja na kujenga hoja ya Katiba ili kuweza kuwepo na Katiba itakayoleta muafaka