Huyu anataka posho ya kama miaka 3 hivi na sio kwamba anatakΓ katibaAkizungumza kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliofanyika leo Septemba 7, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha cha AFP, Said Said amesema haungi mkono Katiba ya Warioba kwani imepitwa na wakati.
Amependekeza Kamati ya Maridhiano kukaa pamoja na kujenga hoja ya Katiba ili kuweza kuwepo na Katiba itakayoleta muafaka
Yuko sawa kweli au ana matatizo ya akili? Katiba ya Warioba ndiyo katiba gani hiyo? Mpaka muda huu nchi ina Katiba mbovu ya ccm ya mwaka 1977!Akizungumza kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliofanyika leo Septemba 7, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha cha AFP, Said Said amesema haungi mkono Katiba ya Warioba kwani imepitwa na wakati.
Amependekeza Kamati ya Maridhiano kukaa pamoja na kujenga hoja ya Katiba ili kuweza kuwepo na Katiba itakayoleta muafaka
Kama anaita ile rasimu ya Warioba ndio katiba, hapo kuna mtu anayejua lolote kweli?Akizungumza kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliofanyika leo Septemba 7, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha cha AFP, Said Said amesema haungi mkono Katiba ya Warioba kwani imepitwa na wakati.
Amependekeza Kamati ya Maridhiano kukaa pamoja na kujenga hoja ya Katiba ili kuweza kuwepo na Katiba itakayoleta muafaka
Akizungumza kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliofanyika leo Septemba 7, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha cha AFP, Said Said amesema haungi mkono Katiba ya Warioba kwani imepitwa na wakati.
Amependekeza Kamati ya Maridhiano kukaa pamoja na kujenga hoja ya Katiba ili kuweza kuwepo na Katiba itakayoleta muafaka
Mwehu aliyeumbwa na CCM kwa manufaa yao binafsi.Akizungumza kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliofanyika leo Septemba 7, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha cha AFP, Said Said amesema haungi mkono Katiba ya Warioba kwani imepitwa na wakati.
Amependekeza Kamati ya Maridhiano kukaa pamoja na kujenga hoja ya Katiba ili kuweza kuwepo na Katiba itakayoleta muafaka
Nakana kabisa kuwa sijawahi kukisikia hiki chama wala huyu sheikh sijawahi kumsikia. Hiki chama kiko nchi gani?Huyu anataka posho ya kama miaka 3 hivi na sio kwamba anatakΓ katiba
Tangu lini Warioba akawa na Katiba yake? Hata kama ni maoni yawe logical.Mnapenda democracy na uhuru wa kutoa maoni,mzee katoa maoni yake mnatukana..
Msilazimishe watu kuona tunachopigania ni sahii
Wakati TANU inaanza kudai uhuru wananchi wengi hawakuelewa maana ya uhuru wala hawakuona umuhimu wake
Katiba ya Warioba ndiyo kigani? Zombie ni zombie tu.Akizungumza kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliofanyika leo Septemba 7, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha cha AFP, Said Said amesema haungi mkono Katiba ya Warioba kwani imepitwa na wakati.
Amependekeza Kamati ya Maridhiano kukaa pamoja na kujenga hoja ya Katiba ili kuweza kuwepo na Katiba itakayoleta muafaka
Akizungumza kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliofanyika leo Septemba 7, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha cha AFP, Said Said amesema haungi mkono Katiba ya Warioba kwani imepitwa na wakati.
Amependekeza Kamati ya Maridhiano kukaa pamoja na kujenga hoja ya Katiba ili kuweza kuwepo na Katiba itakayoleta muafaka
Kutokea mwaka 2014 mpaka hivi sasa mwaka 2026 ni miaka 12 imeshapita !Akizungumza kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliofanyika leo Septemba 7, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha cha AFP, Said Said amesema haungi mkono Katiba ya Warioba kwani imepitwa na wakati.
Amependekeza Kamati ya Maridhiano kukaa pamoja na kujenga hoja ya Katiba ili kuweza kuwepo na Katiba itakayoleta muafaka