Tetesi: Mwenyekiti CHASO Mwanza kupewa kesi ya ugaidi na Polisi

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Baada ya Kumjibu Kilina , M/kiti wa Chaso Mwanza anatakiwa ku report Polisi huku Polisi wakipanga kumpa kesi ya Ugaidi. Kwa sasa Jeshi la Polisi limeji dhatiti kudhibiti wote wanaojibu hoja zinazoihusu CCM au zinazomhusu SAMIA isipokua ziwe zinasifia na si kukosoa.
 
Mapolisi yetu na yenyewe yanazingua. Huu ugaidi na uhaini wa kupika unawasaidia nini sasa zaidi ya kuwadhalilisha tu kwenye jamii ya wapenda mabadiliko?
 
Baada ya Kumjibu Kilina , M/kiti wa Chaso Mwanza anatakiwa ku report Polisi huku Polisi wakipanga kumpa kesi ya Ugaidi. Kwa sasa Jeshi la Polisi limeji dhatiti kudhibiti wote wanaojibu hoja zinazoihusu CCM au zinazomhusu SAMIA isipokua ziwe zinasifia na si kukosoa.
ok. :1Head:
 
Mithali 29:1.

“Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua".
Haya makitu ya CCM hayasomi neno la Mungu, yanasoma Katiba Yao ya chama inayosema teka, ua, kaba kila mtanganyika anayekosoa chawa.
 
Tangazo switch down, mtandao jf down wamezima swicth , bila vpn jf haipatikan muda huu. Sijui kama kona zote au
 
Baada ya Kumjibu Kilina , M/kiti wa Chaso Mwanza anatakiwa ku report Polisi huku Polisi wakipanga kumpa kesi ya Ugaidi. Kwa sasa Jeshi la Polisi limeji dhatiti kudhibiti wote wanaojibu hoja zinazoihusu CCM au zinazomhusu SAMIA isipokua ziwe zinasifia na si kukosoa.
Kuna jamaa anaitwa Mwaipopo, alionyesha hadi vikundi vya magaidi anacho miliki. Hakuwahi hata kuitwa kuhojiwa. Na hao polisi wenu
 
Back
Top Bottom