ok.Baada ya Kumjibu Kilina , M/kiti wa Chaso Mwanza anatakiwa ku report Polisi huku Polisi wakipanga kumpa kesi ya Ugaidi. Kwa sasa Jeshi la Polisi limeji dhatiti kudhibiti wote wanaojibu hoja zinazoihusu CCM au zinazomhusu SAMIA isipokua ziwe zinasifia na si kukosoa.
Haya makitu ya CCM hayasomi neno la Mungu, yanasoma Katiba Yao ya chama inayosema teka, ua, kaba kila mtanganyika anayekosoa chawa.Mithali 29:1.
“Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua".
Kuna jamaa anaitwa Mwaipopo, alionyesha hadi vikundi vya magaidi anacho miliki. Hakuwahi hata kuitwa kuhojiwa. Na hao polisi wenuBaada ya Kumjibu Kilina , M/kiti wa Chaso Mwanza anatakiwa ku report Polisi huku Polisi wakipanga kumpa kesi ya Ugaidi. Kwa sasa Jeshi la Polisi limeji dhatiti kudhibiti wote wanaojibu hoja zinazoihusu CCM au zinazomhusu SAMIA isipokua ziwe zinasifia na si kukosoa.