Mwenyekiti CUF: Anayetaka ripoti zaidi ya ile (Jaji Chande) haitakii mema Tanzania

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Mirambo Yusuph, amesema mambo yaliyoainishwa katika ripoti ya Tume ya Uchaguzi kuhusu matukio ya Oktoba 29 tayari yalishawasilishwa siku za nyuma.

Amesema chama hicho kimeipokea na kuisikiliza ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio hayo, lakini hakina muda wa kujadili ukamilifu na mapungufu ya ripoti hiyo, kwa kuwa wananchi wengi walishuhudia yaliyotokea.

“Sisi tumeamua kuangazia sababu kuu zilizochochea machafuko na Mauaji ya Oktoba 29 na mapendekezo yaliyowekwa kwenye ripoti hiyo,” amesema.

Ameongeza kuwa CUF inapenda kuukumbusha umma wa Watanzania kwamba sababu na mapendekezo yaliyobainishwa Aprili 2026 tayari yalishawahi kutolewa na chama hicho zaidi ya robo karne iliyopita

mwenyekiti wa CUF yuko sahihi 100%
 
Mtu akitaka kujua hiyo taarifa ina nini au ililenga nini ndiyo kuitakia mabaya "inji"?Ficheni maradhi ili kifo kiwafanye fursa ya kifo.
 
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Mirambo Yusuph, amesema mambo yaliyoainishwa katika ripoti ya Tume ya Uchaguzi kuhusu matukio ya Oktoba 29 tayari yalishawasilishwa siku za nyuma.

Amesema chama hicho kimeipokea na kuisikiliza ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio hayo, lakini hakina muda wa kujadili ukamilifu na mapungufu ya ripoti hiyo, kwa kuwa wananchi wengi walishuhudia yaliyotokea.

“Sisi tumeamua kuangazia sababu kuu zilizochochea machafuko na Mauaji ya Oktoba 29 na mapendekezo yaliyowekwa kwenye ripoti hiyo,” amesema.

Ameongeza kuwa CUF inapenda kuukumbusha umma wa Watanzania kwamba sababu na mapendekezo yaliyobainishwa Aprili 2026 tayari yalishawahi kutolewa na chama hicho zaidi ya robo karne iliyopita

Naomba elimu ya huyu Mwenyekiti wa CUF
 
Faki zati sonofabitch. Tunajua aliingiia kwenye hiyo nafasi kwa sarakasi za CCM (kupitia Registrar of Political Parties)!
 
Back
Top Bottom