Mwenyekiti Freeman Mbowe kuachia tu uenyekiti haitoshi anapashwa kukamatwa, kuchunguzwa na kufikishwa mahakamani ili arejeshe fedha zote za CHADEMA

Kesi ya uhujumu uchumi inamhusu
 
Umeelewa lakini nilichoandika?

Utaratibu anaoutumia Mwenyekiti Freeman Mbowe unaweza kukagulika na CAG?
 
Umeelewa lakini nilichoandika?

Utaratibu anaoutumia Mwenyekiti Freeman Mbowe unaweza kukagulika na CAG?
Ulichoandika ni mambo ya kutoka kichwani kwako tu, labda na kwa kumsikiliza Lissu (mkurupukaji).

Lakini Mbowe hawezi fanya upuuzi huo (ni mfanyabiashara) ambae anajua auditor anaweza omba details za bank statements ya taasisi ya biashara kufanya bank reconciliation ya vitabu.

Pili Mbowe anajua msingi wa separation ya owner and organisation legal entity ndio maana umeona keshaporwa biashara nyingi na majengo kwa kutolipa kodi za majengo na biashara; bila ya kumfilisi yeye mwenyewe.

Tatu uwezi sajili taasisi ya umma bila ya kuwa na account yake rasmi na ukawa na external auditor (hata kama ni wa hovyo kama CAG) hiko ndio anachokagua kwenye kilichoingia na kutoka. CAG akagui account ya Mbowe.

Hela ya ruzuku ya chama serikali haiwezi lipa kwenye account ya mtu, vinginevyo watakuwa wameshiriki kwenye fraud, lazima ilipwe kwenye account ya taasisi.

Ni upuuzi ulichoandika logically au ukumuelewa Lissu (binafsi sijamsikiliz bado sijapata muda) Iła kusema hela za chama zinaweza kwenda kwenye account ya Mbowe ni kutoelewa mambo.

Sasa aina maana Mbowe hana mbinu za kutumia hela zinazoingia kwenye account ya chama kwa ubadhirifu; hizo ni accusations mbili tofauti.

Kutumia account ya chama atakavyo na hela kuingia kwenye account yake sio kitu kimoja. The former is possible, the latter is impossible.
 
Yeye alisema huwa hagombei mwenyewe bali wanachama wanamlazimisha . Binafsi nadhani si kukamatwa tu bali akikamatwa afungwe pingu na kitambaa cheusi usoni
Hizo huwa kauli tu na mbinu za kung'ang'ania madarakani.

Hakuna mtu anayelazimishwa kwenye jambo la hiyari.
 
Kwanini tusianzie na CCM kwanza na Serikali kwa ujumla..., Ukizingatia hao ndio wanakula sana Kodi zetu na Ruzuku....; Anyway nilishasema....

 
CCM wanakusanya pesa kwa nani?
 
CCM wanakusanya pesa kwa nani?
Hivi hujui Kodi zako zinatumika kama Ruzuku kwa Vyama kila Mwezi ? Na CCM kutokana na so called wawakilishi wengi (Wabunge) AKA Rubber Stampers wanapokea pesa lukuki kila mwezi..., In short haya maigizo yanaligharimu sana hili Taifa....

 
N a baado Hmajasema ! Mtasema tu !!
Bila Mwamba Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
 
Hela ya ruzuku ya chama serikali haiwezi lipa kwenye account ya mtu, vinginevyo watakuwa wameshiriki kwenye fraud, lazima ilipwe kwenye account ya taasisi.
Mkuu hiki ndicho ninachofahamu, nashangaa hizi tuhuma kuwa zinawekwa katika akaunti binafsi 😯
 
Mkuu hiki ndicho ninachofahamu, nashangaa hizi tuhuma kuwa zinawekwa katika akaunti binafsi 😯
Ni uthibitisho wa Lissu ni mtu wa kukurupuka.

Hajui hata hesabu za taasisi ambayo amekuwa nwanachama wanavyokaguliwa na CAG.

Serikali haiwezi lipa ruzuku kwenye account ya Mbowe.
 
Kwa Namna mamlaka inatafuta mbinu za kuiangamiza Chadema, Mbowe angekuwa na hayo makando kando uliyoandika hapo msajili na ofisi nzima wangehamia ofisi za chadema.
 
Ni sahihi kabisa.Mbowe anapaswa kufurushwa na kukamatwa ashtakiwe.ameiba sana ruzuku na kuua wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…