Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suhulu Hassan amepeleka zaidi ya Bilioni 2 katika miradi ya maendeleo Wilaya ya Nachingwea katika mwaka wa fedha wa 2020/2025 ambayo umesaidia kukuza uchumi wa Wananchi wa Nachingwea.
Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Adinan Mpyagila alisema kuwa Rais Dkt.Samia Suhulu Hassan amejenga Nachingwea kukuza uchumi wa wananchi kwa maendeleo yao.
Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Adinan Mpyagila alisema kuwa Rais Dkt.Samia Suhulu Hassan amejenga Nachingwea kukuza uchumi wa wananchi kwa maendeleo yao.