Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
UKISHIBA, KAA PEMBENINO REFORMS, NO ELECTION
Waache waende huko, ndipo cdm wanawapeleka kwenye uwanja wao. Wakijitoa ufaham kule itawalazimu warudisheHao ndio Majaji wetu sasa, Yaan Jaji anatafasiri kitu Kisha anasema Jaji atatafasiri Tena...Hawa wote ni wanasheria
Jaji Mwambegele jiondolee hizo laana kwa kutengua maneno ya Kailima.Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema kilichozungumzwa na tume hiyo ni tafsiri yao na kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanatafsiri tofauti basi mtafsiri wa mwisho wa mambo hayo ni mahakama.
Kauli ya Jaji Mwambegele imekuja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rugemeleza Nshala kuwataka watendaji wa INEC wajitathimini kama wanaweza kutekeleza majukumu yao baada ya kueleza kuwa, Chadema hakitashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kutokana na kugomea kusaini kanuni za maadili.
See translation.
Ndio wanaobeba kilichopo kwenye mifuko.UKISHIBA, KAA PEMBENI
Usizuie wengine kula
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema kilichozungumzwa na tume hiyo ni tafsiri yao na kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanatafsiri tofauti basi mtafsiri wa mwisho wa mambo hayo ni mahakama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025