Kwa kule ninakotoka watu husimamia misimamo ya UKWELI NA UWAZI.
Huyu ndugu yetu Jaji Mwambegele katushushia heshima watu wa Mbeya-Tukuyu.
Nakubaliana na Jaji Warioba, Jaji Mwambegele kajivunia heshima, kama Jaji Chande.
Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazima atatembea kichwa chini popote atakapokwenda.
Simply put, Uongo ni dhambi.
Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii.
Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi...
Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi Mkuu ngazi ya Kata wametakiwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, bila kupokea au kutekeleza maagizo kutoka nje ya Tume hiyo.
Kauli hiyo imetolewa leo Agosti 5, 2025 na Mwenyekiti wa Tume Huru ya...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele anafafanua kuhusu Kura ya Mapema wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kusema:
“Sheria ya Uchaguzi Zanzibar inaeleza kuwa kuna Watu wanaruhusiwa kupiga kura mapema siku moja kabla ya Uchaguzi...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, Mei 12, 2025 atazungumza na Vyombo vya Habari.
Ngoja tusikie atasema nini. Je, ni kuhusu CHADEMA kujitoa, Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, mgawanyo wa majimbo au nao wameikubali no reforms no...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema kilichozungumzwa na tume hiyo ni tafsiri yao na kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanatafsiri tofauti basi mtafsiri wa mwisho wa mambo hayo ni mahakama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.