Principle-centered people do not get that job. Béni-oui-oui (yes-men) ndio wanaopewa hiyo kazi.
Hakuna Jaji pale, hiyo HESHIMA alishaipoteza kitambo..aibu sana kwa Jaji tena wa Mahakama ya Rufaa kuwa MPUMBAVU hivi
Wanajaribu kumrudishia hadhi ya uraisi, walau apate the power token of negotiations, sababu as we stand yeye kikomo chake cha uraisi ni Ile jana Siku ya uchaguzi , so mpaka pale rais mpya atakapoapishwa, as we speak sasa Tanzania Haina raisi muda huu, so yeye sio raisi !!walau wakimtangaza kutakua na chance ya kupata fursa ya kuondoka kwa amani..lakini Kila kitu kitategemea namna JWTZ watasimama na sisiKwa hiyo hili zoezi la uchafuzi linaendelea kama kawaida; na KILELE CHAKE NI KUMTANGAZA SAMIA KUWA MSHINDI?
Mbona sielewi kinachofanyika hapa?
Naomba kueleweshwa kwa mwenye ufahamu mzuri wa hili jambo.
Maswala ya huko mitaani na barabarani hawa hayawahusu kabisa?
Imagine huyo ni mzazi wa mtuMshenzi huyu hata kuandika hukumu hajui. Alikuwa anajiona sana pale High Court just because katoka TISS.
Ni mmoja ya washenzi wengi waliojazana kule TISS ambao kazi ni kutumikia maslahi ya watu badala ya maslahi ya Taifa.
Makes no sense to me.Wanajaribu kumrudishia hadhi ya uraisi, walau apate the power token of negotiations, sababu as we stand yeye kikomo chake cha uraisi ni Ile jana Siku ya uchaguzi , so mpaka pale rais mpya atakapoapishwa, as we speak sasa Tanzania Haina raisi muda huu, so yeye sio raisi !!walau wakimtangaza kutakua na chance ya kupata fursa ya kuondoka kwa amani..lakini Kila kitu kitategemea namna JWTZ watasimama na sisi
Hapana, kikatiba, Urais haukomi siku ya uchaguzi. Unakoma baada ya Rais mpya kuapishwa!Wanajaribu kumrudishia hadhi ya uraisi, walau apate the power token of negotiations, sababu as we stand yeye kikomo chake cha uraisi ni Ile jana Siku ya uchaguzi , so mpaka pale rais mpya atakapoapishwa, as we speak sasa Tanzania Haina raisi muda huu, so yeye sio raisi !!walau wakimtangaza kutakua na chance ya kupata fursa ya kuondoka kwa amani..lakini Kila kitu kitategemea namna JWTZ watasimama na sisi
Asante kwa kunirekebisha, but yote kwa yote wanataka wampe uhalali wa kujiteteaHapana, kikatiba, Urais haukomi siku ya uchaguzi. Unakoma baada ya Rais mpya kuapishwa!
Go to the ground soldier.Hivi hawa watu bado wanaendelea na kazi ya kutangaza uchafu?
Kwa nini wanaachwa waendelee na zoezi hili ambalo wananchi wamelikataa?
Hawa inafaa watembelewe huko wanakofanyia kazi na kutiwa kiberiti wateketee na mauchafu yao.