Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazima atatembea kichwa chini popote atakapokwenda.
Simply put, Uongo ni dhambi.
Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii.
Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi ni Rais Mstaafu Khama wa Botswana.
Jaji Mwambegele, kitaifa na kimataifa umenyea kambi, kambi ya haki za kimsingi.