DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Ametutia nuksi wanyakyusa kummammae zake.. sijui ni mnyakyusa wa wapi
Hamna Judge pale, Wanyakyusa wameaibikaView attachment 3499754
Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazima atatembea kichwa chini popote atakapokwenda.
Simply put, Uongo ni dhambi.
Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii.
Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi ni Rais Mstaafu Khama wa Botswana.
Jaji Mwambegele, kitaifa na kimataifa umenyea kambi, kambi ya haki za kimsingi.
Unayajua maslahi ya jaji wa Rufani achilia mbali uenyekiti wa Tume?View attachment 3499754
Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazima atatembea kichwa chini popote atakapokwenda.
Simply put, Uongo ni dhambi.
Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii.
Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi ni Rais Mstaafu Khama wa Botswana.
Jaji Mwambegele, kitaifa na kimataifa umenyea kambi, kambi ya haki za kimsingi.
Haswaaa…!Ametutia nuksi wanyakyusa kummammae zake.. sijui ni mnyakyusa wa wapi
Kyusa huwa ukweli tunauweka mbele, na ukisimama mbe ya banyambala (wanaume wa rika yako), unasema ndi nyambala, mtu wa intergrity.Hamna Judge pale, Wanyakyusa wameaibika
Hayo mafao hayamsaidii mwananchi wa kawaida , hasa aliyeuwawa kinyama na serikali yake.Unayajua maslahi ya jaji wa Rufani achilia mbali uenyekiti wa Tume?
Ndio mfano wa Majaji tulionao huo.. wanalamba makalio ya watawala bila hivyo wanavuliwa ujajiJaji Mwambegele, kitaifa na kimataifa umenyea kambi, kambi ya haki za kimsingi.
Kama Jaji Kaijage tangu atangaze ule uhuni wa 2020 hata kutoka public haweziView attachment 3499754
Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazima atatembea kichwa chini popote atakapokwenda.
Simply put, Uongo ni dhambi.
Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii.
Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi ni Rais Mstaafu Khama wa Botswana.
Jaji Mwambegele, kitaifa na kimataifa umenyea kambi, kambi ya haki za kimsingi.
Jaji katia aibuKyusa huwa ukweli tunauweka mbele, na ukisimama mbe ya banyambala (wanaume wa rika yako), unasema ndi nyambala, mtu wa intergrity.
Huyo Mwambegele hawezi simama mbele ya banyambala akatoa sauti.
Aiseee huyo Jaji amejiaibisha sana ,yaani matokeo hayana uhalisia hata chembe!!View attachment 3499754