Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kuna kampeni ya "Mama Asemewe" tena tena ina mpaka Mwenyekiti?😲😲😳
Kuna watu wanakosa huduma huko kwa umasikini mpaka wanaambiwa waende nyumbani wakajipasue wenyewe ili wajifunge halafu huku hela zinachezewa kwa kulipa chawa.
Tusipoamka chawa wanaenda kuangamiza hii nchi!
Ila safari hii nabubujikwa kwa machozi ya furaha kwa jinsi CCM inavyotapatapa

CHADEMA endeleeni kukaza buti mpaka mtu acheue damu🌚🌚
=====
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geoffrey Kiliba amewataka wananchi kuwapuuza wanasiasa wanaohubiri chuki na mifarakano na kushindwa kuthamini mambo mazuri yaliyofanywa katika uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti huyo ameyasema hayo katika Kongamano la Wanavyuo lililofanyika Februari 15, 2025 katika Ukumbi wa Tanga Technical lililolenga kutoa elimu kwa vijana kuhusu umuhimu wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kuwahamasisha kushiriki katika uchaguzi wa mwaka 2025.
Kiliba ameweka wazi vijana hususani wanavyuo wapo tayari kuilinda nchi yao kwa jasho na damu.
Kuna kampeni ya "Mama Asemewe" tena tena ina mpaka Mwenyekiti?😲😲😳
Kuna watu wanakosa huduma huko kwa umasikini mpaka wanaambiwa waende nyumbani wakajipasue wenyewe ili wajifunge halafu huku hela zinachezewa kwa kulipa chawa.
Tusipoamka chawa wanaenda kuangamiza hii nchi!
Ila safari hii nabubujikwa kwa machozi ya furaha kwa jinsi CCM inavyotapatapa

CHADEMA endeleeni kukaza buti mpaka mtu acheue damu🌚🌚=====