Kuna kampeni ya "Mama Asemewe" tena tena ina mpaka Mwenyekiti?π²π²π³
Kuna watu wanakosa huduma huko kwa umasikini mpaka wanaambiwa waende nyumbani wakajipasue wenyewe ili wajifunge halafu huku hela zinachezewa kwa kulipa chawa.
Tusipoamka chawa wanaenda kuangamiza hii nchi!
Ila safari hii nabubujikwa kwa machozi ya furaha kwa jinsi CCM inavyotapatapa CHADEMA endeleeni kukaza buti mpaka mtu acheue damuππ
=====
Your browser is not able to display this video.
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geoffrey Kiliba amewataka wananchi kuwapuuza wanasiasa wanaohubiri chuki na mifarakano na kushindwa kuthamini mambo mazuri yaliyofanywa katika uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Mwenyekiti huyo ameyasema hayo katika Kongamano la Wanavyuo lililofanyika Februari 15, 2025 katika Ukumbi wa Tanga Technical lililolenga kutoa elimu kwa vijana kuhusu umuhimu wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kuwahamasisha kushiriki katika uchaguzi wa mwaka 2025.
Kiliba ameweka wazi vijana hususani wanavyuo wapo tayari kuilinda nchi yao kwa jasho na damu.