Mwenyekiti Mangungu ndiyo aliyebariki uuzwaji wa tiketi zaidi ya 60,000 na kusababisha wengine kukaa nje

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kipindi Tamasha la Simba Day linaendelea ilitokea sintofahamu baadhi ya mashabiki kutoruhusiwa kuingia uwanjani na tickets wanazo na hiyo ilitokea baada ya uwanja kujaa.

Benjamini Mkapa unachukua mashabiki elfu sitini (60,000) na taarifa zilitoka mapema tu kuwa tiketi zote zimeisha. Ina maana watu elfu sitini walinunua tickets.

Kwanini nasema kuwa Mwenyekiti kahusika kubariki zoezi la uuzaji tickets zaidi ya elfu sitini?

Kupitia kwenye jukwaa la kuhamasisha Wanasimba Buza, Mwenyekiti Mangungu alisema nanukuu "Hata kama uwanja utajaa tutafunga TV kubwa kwenye Uwanja wa Uhuru (Shamba la Bibi)," mwisho wa kunukuu.

Kutokana na hiyo baraka ya Mangungu watendaji wake waliendelea kuuza tickets japo kuwa tayari hitaji la uwanja limefikia tamati, na hiyo imefikia /imesababisha baadhi ya mashabiki kubaki nje ya uwanja na tickets zao.

Ombi langu: Mwenyekiti wa Simba SC Mangungu jitokeze mbele ya camera na uombe radhi mashabiki mliowatafuta kwa hali na mali mitaani kwani wamekosewa pakubwa sana, na kama hutofanya hivyo mashabiki waliodhalilika leo, kesho hutoweza kuwaona tena!
 
mwenyekiti Mangungu alisema nanukuu "hata Kama uwanja utajaa tutafunga Tv kubwa kwenye uwanja wa Uhuru (shamba la Bibi)" mwisho wa kunukuu.

Hawa nao wangeenda kwenye mechi yao Chamazi kati ya Yanga na AS Vita

1691395955947.png
 
Kipindi Tamasha la Simba Day linaendelea ilitokea sintofahamu baadhi ya mashabiki kutoruhusiwa kuingia uwanjani na tickets wanazo na hiyo ilitokea baada ya uwanja kujaa.

Benjamini Mkapa unachukua mashabiki elfu sitini (60,000) na taarifa zilitoka mapema tu kuwa tiketi zote zimeisha. Ina maana watu elfu sitini walinunua tickets.

Kwanini nasema kuwa Mwenyekiti kahusika kubariki zoezi la uuzaji tickets zaidi ya elfu sitini?

Kupitia kwenye jukwaa la kuhamasisha Wanasimba Buza, Mwenyekiti Mangungu alisema nanukuu "Hata kama uwanja utajaa tutafunga TV kubwa kwenye Uwanja wa Uhuru (Shamba la Bibi)," mwisho wa kunukuu.

Kutokana na hiyo baraka ya Mangungu watendaji wake waliendelea kuuza tickets japo kuwa tayari hitaji la uwanja limefikia tamati, na hiyo imefikia /imesababisha baadhi ya mashabiki kubaki nje ya uwanja na tickets zao.

Ombi langu: Mwenyekiti wa Simba SC Mangungu jitokeze mbele ya camera na uombe radhi mashabiki mliowatafuta kwa hali na mali mitaani kwani wamekosewa pakubwa sana, na kama hutofanya hivyo mashabiki waliodhalilika leo, kesho hutoweza kuwaona tena!
Hao mashabiki ni wamechangia timu ,wasilalamike sana
 
Ukishaona timu ya mpira inaanza kuleta siasa nyingi kwenye mpira ujue mambo lazima yaende mrama tu. Nitaishia hapo kwa sasa....
 
Back
Top Bottom