Mwenyekiti Mangungu ndiyo aliyebariki uuzwaji wa tiketi zaidi ya 60,000 na kusababisha wengine kukaa nje

Naandika nikijua wewe ni UTO na tulishaambiwa wenye akili ni wawili Ok, lakini hata kwa akili ndogo huwezi kujiuliza mgeni rasmi jana alikuwa nani na protocal za kiulinzi zikoje? Hivi huyo Mangungu unayemsema ana nguvu za kwenda kumuuliza Rais unakuja na msafara wawatu wangapi? Unafikiri ulinzi wa Rais ni hao tu waliokuja naye kwenye magari? Hao walinzi wanalipa viingilio? Walikaa kwenye siti za kina nani? Unafikiri tiketi unajiuzia unavyotaka bila kufuata taratibu? Huo uwanja una wenye nao ambao wanaulinda usiharibiwe. Serikali inatrack mfumo wa N CARD kwa ajili ya kujua idadi na kiasi gani cha kodi kikusanywe au Mangungu ni waziri wa fedha? Hii ni nchi pekee ambapo wajinga husikizwa na kuheshimika
 
pamoja na kwamba ni uto 7la ameongea ukweli, hivi yangetokea maafa halafu mtu wako was karibu anaathirika ungemjibu hivyo. Idadi ya uwanja unajulikana na idadi ya tiketi zinazotakiwa kuuzwa inajulilana hivyo kwanini wazidishe tiketi na kuleta usumbufu?
Tatizo tunaongozwa na watu wajinga wanaofikiria umaarufu zaidi bila kujali madhara ya huo umaarufu.
 
Kwa hiyo unataka kusema meafara wa Raisi Samia ndiyo ulifanya mashabiki wabaki nje??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Akikujibu unitag [emoji41]

Tatizo tunaongozwa na watu wajinga wanaofikiria umaarufu zaidi bila kujali madhara ya huo

Kwa hiyo unataka kusema meafara wa Raisi Samia ndiyo ulifanya mashabiki wabaki nje??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums
Msafara wa Rais ni zaidi ya watu walio waliomzunguka pale
 
pamoja na kwamba ni uto 7la ameongea ukweli, hivi yangetokea maafa halafu mtu wako was karibu anaathirika ungemjibu hivyo. Idadi ya uwanja unajulikana na idadi ya tiketi zinazotakiwa kuuzwa inajulilana hivyo kwanini wazidishe tiketi na kuleta usumbufu?
Tatizo tunaongozwa na watu wajinga wanaofikiria umaarufu zaidi bila kujali madhara ya huo umaarufu.
Una idadi ya waliokataliwa kuingia na waliozidi?
 
swala sio idadi swala ni je walikuwepo au hawakuwepo? jibu ni ndio walikuwepo na miongoni mwao ni watu niliokata nap tiketi? kama waliwakatisha tiketi halafu wakawaambia uwanja umejaa kwanini wauze tiketi kuzidi idadi, pia warudishe pesa zao maana wamefanya utapeli na wizi.
 
FB_IMG_1682646137959 (2).jpg
 
Bahati Mbaya sana M CARD IPO CHINI YA SELIKALI.

SELIKALI NDIO INASIMAMIA MCARD MAMBO YOTE YA KUINGIA UWANJANI NA KUKATA TIKETINYAPO CHINI YA MCARD.

UJINGA NI MZIGO
 
Kwa hiyo unataka kusema serikali imewahujumu mashabiki??

Hivi wewe bichwa lako limejaa makohozi???

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki waliokata yiketi 58,000.

VIONGOZI
WAANDISHI.
Waalikwa + 2000

JUMLA KUU 60,000
 
Mashabiki waliokata yiketi 58,000.

VIONGOZI
WAANDISHI.
Waalikwa + 2000

JUMLA KUU 60,000
Waliokaa nje na kuanza kulalamika ni familia yako ile??

Kuna watu wamekata tiketi muda mrefu wanafika uwanjani wanaambiwa uwanja umejaaa Nini kilifanyika hapo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Waliokaa nje na kuanza kulalamika ni familia yako ile??

Kuna watu wamekata tiketi muda mrefu wanafika uwanjani wanaambiwa uwanja umejaaa Nini kilifanyika hapo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

MCARD ndio inahusika na tiketi zote.

Mcard wapo chini ya SELIKALI.

SO NADHANI KUFIKA HAPO UTAKUWA NA MAJIBU YA KUTOSHA .
 
swala sio idadi swala ni je walikuwepo au hawakuwepo? jibu ni ndio walikuwepo na miongoni mwao ni watu niliokata nap tiketi? kama waliwakatisha tiketi halafu wakawaambia uwanja umejaa kwanini wauze tiketi kuzidi idadi, pia warudishe pesa zao maana wamefanya utapeli na wizi.
Tiketi zinarudishwa jamii forums?
 
UJINGA KWELI MZIGO. Ishu ikishahusisha rais tegemea mamluki watakuwa wengi hii itahusisha wanausalama na the likes.
 
Back
Top Bottom