Naandika nikijua wewe ni UTO na tulishaambiwa wenye akili ni wawili Ok, lakini hata kwa akili ndogo huwezi kujiuliza mgeni rasmi jana alikuwa nani na protocal za kiulinzi zikoje? Hivi huyo Mangungu unayemsema ana nguvu za kwenda kumuuliza Rais unakuja na msafara wawatu wangapi? Unafikiri ulinzi wa Rais ni hao tu waliokuja naye kwenye magari? Hao walinzi wanalipa viingilio? Walikaa kwenye siti za kina nani? Unafikiri tiketi unajiuzia unavyotaka bila kufuata taratibu? Huo uwanja una wenye nao ambao wanaulinda usiharibiwe. Serikali inatrack mfumo wa N CARD kwa ajili ya kujua idadi na kiasi gani cha kodi kikusanywe au Mangungu ni waziri wa fedha? Hii ni nchi pekee ambapo wajinga husikizwa na kuheshimika