Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo.
Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo.
Hivyo basi sipendi nawala siungi mkono siasa za vurugu, mapigano, uchochezi, husuda, ulozi, kutekana, kuuana, kudhalilisha na kuhujumiana.
Ndio maana basi nataka tutafakari pamoja na kung'amua mamoja.
Au ni wasi wasi wangu tu?