Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Walitulaghai na 4rSiyo kwamba hakuna alichokifanya Kwa wakati ule, lakin sote tunajua jinsi CCM wanavyotumia hila kuhakikisha wanabaki madarakani, ilikuwa mbaya Kwa kiongozi wa upinzan kuimwagia sifa serikali Kwa namna Ile, hata kufikia hatua ya kumualika Samia kwenye BAWACHA, MISIMAMO NI KITU MUHIMU SANA CCM NI ILEILE TUSIJISAHAULISHE.