Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Amani iwe kwenuMimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo.
Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo.
Hivyo basi sipendi nawala siungi mkono siasa za vurugu, mapigano, uchochezi, husuda, ulozi, kutekana, kuuana, kudhalilisha na kuhujumiana.
Ndio maana basi nataka tutafakari pamoja na kung'amua mamoja.
Au ni wasi wasi wangu tu?
Ukiweka unafiki pembeni, utakubaliana na Ukweli mchungu kwamba Freeman Mbowe ni mtu ambaye Hana misimamo thabiti inayoeleweka. Hii ni hatari Sana kwa mtu kama yeye ambaye mwenye mamlaka ya kuwaongoza watu kwenye jamii. Ni LAZIMA Sana kwa mtu kiongozi kuwa na misimamo inayoeleweka na/au misimamo isiyoyumba. Ila Mbowe amekuwa kama kinyonga, 'rangi yake halisi haijulikani.'Mimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo.
Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo.
Hivyo basi sipendi nawala siungi mkono siasa za vurugu, mapigano, uchochezi, husuda, ulozi, kutekana, kuuana, kudhalilisha na kuhujumiana.
Ndio maana basi nataka tutafakari pamoja na kung'amua mamoja.
Au ni wasi wasi wangu tu?
SHIDA YA AFYA YA AKILI NI KUBWA SANA, mkuu wahi mirembe mapema, SEMA na ndugu zako 🤔🤔🤔Mimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo.
Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo.
Hivyo basi sipendi nawala siungi mkono siasa za vurugu, mapigano, uchochezi, husuda, ulozi, kutekana, kuuana, kudhalilisha na kuhujumiana.
Ndio maana basi nataka tutafakari pamoja na kung'amua mamoja.
Au ni wasi wasi wangu tu?
SawaUkiweka unafiki pembeni, utakubaliana na Ukweli mchungu kwamba Freeman Mbowe ni mtu ambaye Hana misimamo thabiti inayoeleweka. Hii ni hatari Sana kwa mtu kama yeye ambaye mwenye mamlaka ya kuwaongoza watu kwenye jamii. Ni LAZIMA Sana kwa mtu kiongozi kuwa na misimamo inayoeleweka na/au misimamo isiyoyumba. Ila Mbowe amekuwa kama kinyonga, 'rangi yake halisi haijulikani.'
Tunamshukuru kwa kuwa chachu ya drmokrasia Tanzania na uwezo wake wa kuibua vipaji vipyaKimsingi bila kupepesa macho ameshaoverstay! Hamna kitu kipya chenye tija anaweza kufanya kwa sasa baada ya kutumika miaka yote hiyo. Akapumzike tu aachie damu mpya.
Kama ZuchuKwa mpiga muziki yoyote anajua the time to leave the stage, usisubiri hadi watu waanze kukurushia chupa za maji ndo ujue hamna excitement tena
HahahaHata Mwenyekiti wa kijani asipogombea,
Halipo baya litalotokea zaidi ya faida Kwa Nchi.
Kutafuta amani ni kosa?Viongozi wengi wa upinzani Africa ushawish unapungua Kwa kuendekeza maridhiano na watawala, TOKA ALIPOMSIFIA SAMIA MWANZA ALIWAVUNJA MOYO SANA, WAPENDA MABADILIKO.
Sio kosa, ila kilichofanyika alitumika na Serikali, kuonyesha zama za utawala wa kimabavu zimepita na Demokrasia imetamalaki, Kitu ambacho sio kweli mambo yapo vilevile Tume ya uchaguzi, kukatwa majina wapinzan na utekaji na mengine NDIYO MAANA TUNDU ALIKAA MBALI NA MARIDHIANO ALIJUA DHAMIRA YA C CMKutafuta amani ni kosa?
Mkuu kwa nyakati zile Mh Mbowe alifanya kitu sahihi.Sio kosa, ila kilichofanyika alitumika na Serikali, kuonyesha zama za utawala wa kimabavu zimepita na Demokrasia imetamalaki, Kitu ambacho sio kweli mambo yapo vilevile Tume ya uchaguzi, kukatwa majina wapinzan na utekaji na mengine NDIYO MAANA TUNDU ALIKAA MBALI NA MARIDHIANO ALIJUA DHAMIRA YA C CM
kweli.unaongozwa na chuki katika mawazo yakoUkiweka unafiki pembeni, utakubaliana na Ukweli mchungu kwamba Freeman Mbowe ni mtu ambaye Hana misimamo thabiti inayoeleweka. Hii ni hatari Sana kwa mtu kama yeye ambaye mwenye mamlaka ya kuwaongoza watu kwenye jamii. Ni LAZIMA Sana kwa mtu kiongozi kuwa na misimamo inayoeleweka na/au misimamo isiyoyumba. Ila Mbowe amekuwa kama kinyonga, 'rangi yake halisi haijulikani.'
Mwache awaze hivyo. Akili za bjnadamu ni Huru.si
kweli.unaongozwa na chuki katika mawazo yako
Siyo kwamba hakuna alichokifanya Kwa wakati ule, lakin sote tunajua jinsi CCM wanavyotumia hila kuhakikisha wanabaki madarakani, ilikuwa mbaya Kwa kiongozi wa upinzan kuimwagia sifa serikali Kwa namna Ile, hata kufikia hatua ya kumualika Samia kwenye BAWACHA, MISIMAMO NI KITU MUHIMU SANA CCM NI ILEILE TUSIJISAHAULISHE.Mkuu kwa nyakati zile Mh Mbowe alifanya kitu sahihi.
Imagine watu wetu wangapi walikuwa wamefungwa kwa makosa ya kughushi na kubambikizwa? Ni watu wetu wangapi walikuwa anateswa, kutekwa na kuuawa? Unless you dont care unaweza kudharau mpango wa chama kwa wakati ule.