Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ndugu Mwenyekiti, miaka 21 ya kuwa mwenyekiti ni mingi sana, isitoshe umeshafanya mengi mazuri kama Mwenyekiti na kwa sasa hatutarajia jipya lolote kutoka kwako bali tunatamani kukuona unastaafu kwa heshima na kuachia wengine waendeleze guruduma.
Pengine Mwenyekiti sasa utuambie CHADEMA kuna biashara gani kiasi kwamba uko tayari kuendelea kutumia fedha zako kukifadhili chama kama unavyosema wewe mwenyewei na wapambe wako.
Haingii akilini kung'ang'ania kitu ambacho ni liability tena kwa mfanyabiashara na zaidi mfanyabiashara mwenye asili ya kichaga.
Narudia swali langu: hapo CHADEMA kuna biashara gani ndugu Mwenyekiti?