Mwenyekiti Mbowe, Kagame na Museveni ni mifano hai ya Viongozi wa Afrika. Tuipinge kwa Nguvu hii tabia

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .

Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia madarakani aifuate .

Hata tunaokipenda sana Chama tunaanza kichoka .​
 
Una Point.
 
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa ...​
Mbowe hajawahi ongoza nchi hata dakika moja,kama shida ni kuwa Mwenyekiti wa chama Nelson Mandela alikuwa mwenyekiti kwa muda wa miaka mingapi?

Julius Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa chama kwa muda gani? Kenneth Kaunda alikuwa mwenyekiti wa chama kwa muda gani??Biko alikuwa mwenyekiti wa chama kwa muda gani?

Mtu kama chama chako hakijashinda na kutwaa madaraka ya nchi unatoka kwenye madaraka ya chama ili iweje?

Mbona Raila Odinga Kenya bado anaendeleza mapambano na alishawahi kuwa waziri mkuu wa Kenya kwa nini Mbowe kufananishwa na Mseveni?
 
Vyama vingi vifutwe nchini Tanganyika ibaki chama kimoja tu CCM chama Cha mapinduzi ❤️😃
 
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa...​
John Momose Cheyo amekua mwenyekiti wa UDP nimemsikia tangu nipo chekechea hadi sasa na familia,ila huwezi sikia hawa mafala wa kijani wakimzungumzia popote, ila mbowe kwa kuwa ni mpinzani imara mwenye msimamo imara ndio mana kutwa kumzonga kila uchwao.

Acheni unafiki mafala ninyi kenge wa kijani mnakela sana.

cheyokichwachauma.jpg
 
John Momose Cheyo amekua mwenyekiti wa UDP nimemsikia tangu nipo chekechea hadi sasa na familia,ila huwezi sikia hawa mafala wa kijani wakimzungumzia popote,ila mbowe kwa kuwa ni mpinzani imara mwenye msimamo imara ndio mana kutwa kumzonga kila uchwao.

Acheni unafiki mafala ninyi kenge wa kijani mnakela sana.
Nae ni mmoja wao
 
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .

Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia madarakani aifuate .

Hata tunaokipenda sana Chama tunaanza kichoka .​
Umesahau kumtaja,pr lipimba na mzee cheyo .wa udp
 
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .

Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia madarakani aifuate .

Hata tunaokipenda sana Chama tunaanza kichoka .​
Hao wote ndio viongozi wanaogopwa na mabeberu Africa yote.
 
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .

Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia madarakani aifuate .

Hata tunaokipenda sana Chama tunaanza kichoka .​

Mbona hukumuweka Cheyo au Lipumba kwenye hiyo list yako ....!!?

Mbowe anawaumiza sana wana LUMUMBA ....!! Halafu kumlinganisha Mbowe na Marais wa nchi nyingine ni kutaka kutuambia kuwa hadhi ya Mbowe ni sawa na ya Rais ama ulikuwa unamaanisha nini .....!!?
 
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .

Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia madarakani aifuate .

Hata tunaokipenda sana Chama tunaanza kichoka .​

Demokrasia kwenye Katiba ya kidikteta inaifanya nchi kuwa ni kama kampuni ya kikundi cha watu.

Hata CCM kwa kutumia Katiba hii Nchi inatafunwa vya kutosha na wapigakura wanatumwa kwa rushwa kuhalalisha wezi .

Kwa hiyo Mbowe ana kila sababu ya kulinda chama alichokipambania kwa miaka 32.
 
Back
Top Bottom