Mwenyekiti Mbowe, Kagame na Museveni ni mifano hai ya Viongozi wa Afrika. Tuipinge kwa Nguvu hii tabia

Mwenyekiti Mbowe, Kagame na Museveni ni mifano hai ya Viongozi wa Afrika. Tuipinge kwa Nguvu hii tabia

Msichoelewa ni kitu kimoja tu. Nani mwingine wanayemuamini, wakamsomesha kuwa hiki chama ni geresha kwa watanzania na kimataifa, kuwa kuna chama kikuu cha upinzani Tanzania.

Si atatoa siri, akitoka Mbowe atachukua first born wake... Leo unda chama cha upinzani serious, kama utasajiliwa uje unipige vibai, niko hapa Liechtenstein.
 
John Momose Cheyo amekua mwenyekiti wa UDP nimemsikia tangu nipo chekechea hadi sasa na familia,ila huwezi sikia hawa mafala wa kijani wakimzungumzia popote, ila mbowe kwa kuwa ni mpinzani imara mwenye msimamo imara ndio mana kutwa kumzonga kila uchwao.

Acheni unafiki mafala ninyi kenge wa kijani mnakela sana.

View attachment 3030819
Unaona eh,Lipumba amekuwa mwenyekiti wa CUF tangu 1994 hawa mafara wa kijani hawahangaiki naye ila Mbowe wanasumbuka naye kwa vile tu ni mchaga.
 
Back
Top Bottom