Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Una Point.Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .
Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia madarakani aifuate .
Hata tunaokipenda sana Chama tunaanza kichoka .
Mbowe hajawahi ongoza nchi hata dakika moja,kama shida ni kuwa Mwenyekiti wa chama Nelson Mandela alikuwa mwenyekiti kwa muda wa miaka mingapi?Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa ...
Mbona yeye ni Mwenyekiti wa mileleViongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa...
Maoni yako yaheshimiweVyama vingi vifutwe nchini Tanganyika ibaki chama kimoja tu CCM chama Cha mapinduzi ❤️😃
John Momose Cheyo amekua mwenyekiti wa UDP nimemsikia tangu nipo chekechea hadi sasa na familia,ila huwezi sikia hawa mafala wa kijani wakimzungumzia popote, ila mbowe kwa kuwa ni mpinzani imara mwenye msimamo imara ndio mana kutwa kumzonga kila uchwao.Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa...
Nae ni mmoja waoJohn Momose Cheyo amekua mwenyekiti wa UDP nimemsikia tangu nipo chekechea hadi sasa na familia,ila huwezi sikia hawa mafala wa kijani wakimzungumzia popote,ila mbowe kwa kuwa ni mpinzani imara mwenye msimamo imara ndio mana kutwa kumzonga kila uchwao.
Acheni unafiki mafala ninyi kenge wa kijani mnakela sana.
Naichukia sisiemu lakini chadema bado nadhan kuna shida kubwa.Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa ...
😆😆😆😆Mwamba huyu hapa
Umesahau kumtaja,pr lipimba na mzee cheyo .wa udpViongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .
Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia madarakani aifuate .
Hata tunaokipenda sana Chama tunaanza kichoka .
Hao wote ndio viongozi wanaogopwa na mabeberu Africa yote.Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .
Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia madarakani aifuate .
Hata tunaokipenda sana Chama tunaanza kichoka .
Uko sahihiUmesahau kumtaja,pr lipimba na mzee cheyo .wa udp
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .