Mwenyekiti Mbowe, Kagame na Museveni ni mifano hai ya Viongozi wa Afrika. Tuipinge kwa Nguvu hii tabia

Msichoelewa ni kitu kimoja tu. Nani mwingine wanayemuamini, wakamsomesha kuwa hiki chama ni geresha kwa watanzania na kimataifa, kuwa kuna chama kikuu cha upinzani Tanzania.

Si atatoa siri, akitoka Mbowe atachukua first born wake... Leo unda chama cha upinzani serious, kama utasajiliwa uje unipige vibai, niko hapa Liechtenstein.
 
Unaona eh,Lipumba amekuwa mwenyekiti wa CUF tangu 1994 hawa mafara wa kijani hawahangaiki naye ila Mbowe wanasumbuka naye kwa vile tu ni mchaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…