Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Kamanda Asiyechoka ni CCM disguised!!Ukiwa muongo Angalau uwe na kumbukumbu.
Mwenyekiti wa Kwanza wa Chadema ni Edwin Mtei, wa Pili ni Bob Makani na watu NI Freeman Mbowe.
Hiyo Chedema imeanzishwa Mwaka gani mpaka Mbowe awe na miaka 30, mfumo wa vyama vingi umerudishwa Tanzania Mwaka 1992.