Ukiwa muongo Angalau uwe na kumbukumbu.
Mwenyekiti wa Kwanza wa Chadema ni Edwin Mtei, wa Pili ni Bob Makani na watu NI Freeman Mbowe.
Hiyo Chedema imeanzishwa Mwaka gani mpaka Mbowe awe na miaka 30, mfumo wa vyama vingi umerudishwa Tanzania Mwaka 1992.