Uchaguzi 2020 Mwenyekiti Mbowe na katibu wake Mnyika huchelewa sana kupaza sauti pale CCM na Dola zinapofanya figisu dhidi ya wagombea wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti Mbowe na katibu wake Mnyika huchelewa sana kupaza sauti pale CCM na Dola zinapofanya figisu dhidi ya wagombea wa CHADEMA

Mkuu,hayo ya upinzani imara ndio kichocheo cha maendeleo unayajua wewe. Mwenyekiti wa CCM na wana CCM hawataki upinzani kabisa. Wao demokrasia na upinzani kwao si uzalendo.
Ninakubaliana na wewe kabisa chief.

Ila utawala mbovu wa ccm hauondoi nadharia halisi ya uhitaji wa upinzani imara kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
 
Mwenyekiti gani mlevi .mtu muongo tu unalewa unaanguka huko unasingizia Eti umevamiwa ili ukatibiwe kwa hela za serikali .hata na hivyo CDM sio chama kikuba tena hiyo sifa walishaa ipoteza mda
Mbona mna muogopa Lissu kupita maelezo?
 
Uko sahihi kabisa mtoa mada nadhani mawasiliano kati ya viongozi wakubwa wa chama na wanachama wao wanaogombea Ubunge na udiwani lazima yaimarishwe zaidi kipindi chote cha uchaguzi ili kutatua dosari zozote zitakazojitokeza.
 
kutokana na wimbi la wagombea wa upinzani kuwindwa na shetani kama swala ili watekwe au wauliwe huku viongozi wa dini na tume wakikaa kimya sababu wagombea wa ccm hawatekwi ni jukumu lao sasa wagombea wa upinzani kujihami binafsi na kurekodi matukio yote live watumie kofia,miwani,earphone, nguo zenye camera 360 degree warekodi kila kitu huku wakitembea na watu waliofully armed ili kujilinda endapo watafamiwa waweze kutoa fundisho ili wakamsimulie shetani aliyewatuma na sio kulalamika mnatekwa tekwa hovyo hovyo kirahisi tu kumbukeni mpo mawindoni sababu wanajua awatoboi kwenye sanduku.Toeni funzo kama wananchi wa Ukara tembeeni hata na asidi atakaekugusa tu anayo ndo njia pekee ya kujihami,hatutaki watu wa kulialia safari hii.Rekodini matukio yote mrudishapo formu kama ushahidi na kuyarusha live watz wayaone.
 
Uko sahihi kabisa mtoa mada nadhani mawasiliano kati ya viongozi wakubwa wa chama na wanachama wao wanaogombea Ubunge na udiwani lazima yaimarishwe zaidi kipindi chote cha uchaguzi ili kutatua dosari zozote zitakazojitokeza.
Wanakutana na vikwazo vingi sana
 
Uko sahihi kabisa mtoa mada nadhani mawasiliano kati ya viongozi wakubwa wa chama na wanachama wao wanaogombea Ubunge na udiwani lazima yaimarishwe zaidi kipindi chote cha uchaguzi ili kutatua dosari zozote zitakazojitokeza.
Mkuu hapa Pana tatzo, hakuna co ordination. CCM inamminya Mbowe huko HAI lengo sio ubunge wa HAI bali lengo Mbowe ashindwe kusimamia chama kipindi hiki.

Ubinafsi ni tatizo . Si lazima Mbowe awe KUB na huwezi kuwa KUB Kama huna viti vingi. Ona Sasa kwa kugombea ubunge unapambana na vijana wapumbavu km Sabaya wanakudhalilisha . Kampeni zikianza itakuwa ngumu kumsaidia Lisu wagombea ubunge na madiwani. Hongera kwa Benson Kigaila kwa kujaribu kuziba magepu
 
Back
Top Bottom