Makamu mwenyekiti wa Kanda CHADEMA kamanda China wa China chama sasa kipo imara zaidi Mbeya
View: https://m.youtube.com/watch?v=qmlr9ciPEgo
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph China, amesema kuwa kiongozi mpya anapewa ushirikiano thabiti kuhakikisha Mbeya inaendelea kuwa ngome ya CHADEMA