Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Hamad Rashid Mohammed amesema kuwa mbali na wakoloni kuwachukua Waafrika kuwa watumwa katika mataifa yao walianzisha mifumo iliyowafanya Waafrika kudharau utamaduni wao ili waendee kuwatawala kifikra.
Amesema kuwa hata sasa mataifa ya Magharibi hutumia uchumi wake kupitia taasisi za kimataifa za kifedha ili kuendelea kuzitawala nchi za kiafrika, jambo ambalo ameeleza kuwa linatakiwa kupingwa vikali.
Kupitia kipindi cha Mizani cha TBC 1, hii leo Januari 21, 2026 Hamad Rashid Mohammed amesisitiza kuwa Afrika ina haja kubwa ya kuelimishana juu ya umuhimu wa kudhibiti rasilimali zake, kusimamia maendeleo yake, kujenga amani na utulivu kwenye nchi zake pamoja na kuheshimu utamaduni wa asili wa kupendana na kusikilizana kama Waafrika.