”amesisitiza kuwa Afrika ina haja kubwa ya kuelimishana juu ya umuhimu wa kudhibiti rasilimali zake, kusimamia maendeleo yake, kujenga amani na utulivu kwenye nchi zake pamoja na kuheshimu utamaduni wa asili wa kupendana na kusikilizana kama Waafrika”
SIjui wakiwa wanaongea hawa akili wanakuwa wameziweka makalioni?hizo rasilimali anazosema zithibitiwe huyo aliyemuweka hapo toka lini amezisimamia?hajui kama ni failure mkubwa ktk hilo?utamaduni wa asili wa kupendana upi kupendana ni kuamuru askari wazunguke mitaani kuuwa watu kama kuku?