PreGE2025 Mwenyekiti mstaafu BAKWATA, Sule akosoa tamko la Askofu 'Lissu aachiwe mara moja bila masharti'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti mstaafu wa vijana wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt. Seif Hassan Sule amekosoa mwenendo wa viongozi wa dini kutoa kauli alizodai kuwa zinaingilia mamlaka za serikali.

Soma Pia: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

View attachment 3315065
Sasa huyu mganga wa kienyeji anaweza kujibu hoja za askofu Phd hizi ni dharau aende akalishe majini huko
 
Mwenyekiti mstaafu wa vijana wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt. Seif Hassan Sule amekosoa mwenendo wa viongozi wa dini kutoa kauli alizodai kuwa zinaingilia mamlaka za serikali.

Soma Pia: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

View attachment 3315065
Ila wao wenye Bakwata wakimpongeza Rais samia kila siku na pia kumfanyia dua zisizoisha ili ashinde uchaguzi mkuu ujao; siyo kuingilia mambo ya siasa! Hizi takataka zinaudhalilisha sana ummar wa Waislam kote nchini.

I wish Shura ya Maimam ndiyo wangekuwa wawakilishi halali wa Waisalam nchini, badala ya hawa Masheikh ubwabwa wasio hata na chembe ya aibu.
 
Dua ni scam mkuu, zingekua zina mafao zingebadilisha maisha yao kwanza, hata baiskeli hawana halafu wamuombee mtu apate highest office in the nation? Uongo mtupu!
 
Mimi sijui mkuu

Tulipokuwa primary miaka ya 80 wanamazingaombwe walipokuja shule kuonyesha uchawi wa kubadilisha karatasi kuwa fweza walijiita maprofesa so inawezekana kabisa ni doktori wa uchawi
 
Mwenyekiti mstaafu wa vijana wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt. Seif Hassan Sule amekosoa mwenendo wa viongozi wa dini kutoa kauli alizodai kuwa zinaingilia mamlaka za serikali.

Soma Pia: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

View attachment 3315065
HUyu si ndio alikua aianipigia chapuo ile kampuni iliyopewa bandari? Jamaa ni mtupu sijawahi kuona
 
Back
Top Bottom