Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Dr wa nn huyu?Mwenyekiti mstaafu wa vijana wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt. Seif Hassan Sule amekosoa mwenendo wa viongozi wa dini kutoa kauli alizodai kuwa zinaingilia mamlaka za serikali.
Soma Pia: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti
View attachment 3315065
Sasa huyu mganga wa kienyeji anaweza kujibu hoja za askofu Phd hizi ni dharau aende akalishe majini hukoMwenyekiti mstaafu wa vijana wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt. Seif Hassan Sule amekosoa mwenendo wa viongozi wa dini kutoa kauli alizodai kuwa zinaingilia mamlaka za serikali.
Soma Pia: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti
View attachment 3315065
Afu anajiita dokta, sijui ni udokta wa majini hahahaaDarasa la saba uyu na form four ya madrasa
Ila wao wenye Bakwata wakimpongeza Rais samia kila siku na pia kumfanyia dua zisizoisha ili ashinde uchaguzi mkuu ujao; siyo kuingilia mambo ya siasa! Hizi takataka zinaudhalilisha sana ummar wa Waislam kote nchini.Mwenyekiti mstaafu wa vijana wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt. Seif Hassan Sule amekosoa mwenendo wa viongozi wa dini kutoa kauli alizodai kuwa zinaingilia mamlaka za serikali.
Soma Pia: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti
View attachment 3315065
Mimi sijui mkuuDr wa nn huyu?
Ila wao wenye Bakwata wakimpongeza Rais samia kila siku na pia kumfanyia dua zisizoisha ili ashinde uchaguzi mkuu ujao; siyo kuingilia mambo ya siasa! Hizi takataka zinaudhalilisha sana ummar wa Waislam kote nchini.
I wish Shura ya Maimam ndiyo wangekuwa wawakilishi halali wa Waisalam nchini, badala ya hawa Masheikh ubwabwa wasio hata na chembe ya aibu.
BAKWATA siku hizi inaongozwa na Mwenyekiti?Mimi sijui mkuu
Mimi sijui mkuu
HUyu si ndio alikua aianipigia chapuo ile kampuni iliyopewa bandari? Jamaa ni mtupu sijawahi kuonaMwenyekiti mstaafu wa vijana wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt. Seif Hassan Sule amekosoa mwenendo wa viongozi wa dini kutoa kauli alizodai kuwa zinaingilia mamlaka za serikali.
Soma Pia: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti
View attachment 3315065
Shekhe ubwabwa kwa kuwa haungi mkono vurugu?Ningeshangaa kama sheikh ubwabwa huyo angekuwa na hoja tofauti!