PreGE2025 Mwenyekiti mstaafu BAKWATA, Sule akosoa tamko la Askofu 'Lissu aachiwe mara moja bila masharti'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hayo ni madhara ya kupeleka watoto madrasa badala ya shule wakapate elimu matokeo yake mtu akifungua mdomo kuongea ni pumba tupu hakuna cha maana
 
Huyu si ndo alisema anamiliki majini ya kumpa utajiri?

Mshirikina hana la maana la kutwambia.

Mbona hajawahi kuisema serikali ikiingia mikataba mibovu, kuvunja demokrasia na kutoheshimu katiba?
 
Huwezi kutenganisha unafiki na uislam ni.maji.na kambale
 
HAO MAASKOFU SI WANAJITIA KUWA WAO NI VINJAA??BASI WATAPATIKANA VINJAA WENZAO NA NGOMA ITAKUWA NI SARE....
 
Huyu anayoongea yanafanana na sura yake, na familia yake anayoiongoza.

Wazazi leeni watoto vizuri ,huyu naye alikua mtoto na kukua mpaka alipo , ila kakaa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…