TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

najuliza sana sana kwa nini TBC waliweka maandishi yanayosomeka THE BILLIONARES CLUB wakati wanatujuza kuhsu kifo cha Dr.Mengi??!!!??
Hicho ni kipindi ambacho uwa kinawahoji mabillionare, hiyo picha waliyokuwa wakitumia TBC ni ya kutoka katika hicho kipindi.
 
Hicho ni kipindi ambacho uwa kinawahoji mabillionare, hiyo picha waliyokuwa wakitumia TBC ni ya kutoka katika hicho kipindi.
Oooh ahsante kwa kunijuza.mi mawazo yangu yalienda kwenye Nollywood movies!!!!
 
Watanzania bana mnajua kila kitu !!!
Endelea tu kula ugali maharage kibandani kwako
 
Ila kuna somewhere post zilizopita kuna member amesema kuwa Roy amejiandaa kuvurumusha au kufanya valangati fulani hivi. So nikajua kuna hiyo Roy perhaps hawajakosea.
Kuna Roy Mengi aliyekuwa anaishi Uingereza, not sure kama ni mtoto wake, nadhani mtoto wa ndugu yake.
 
Labda atakuwa alizaa na mwanamke mwingine maana mama Mercy aliacha watoto wawili Abdiel na Regina wakati wa mazishi yake haya ndio yalisomwa kwenye risala, huyu Roy mwingine jibu tutapata kwenye historia ya marehemu.
Ameeacha watoto wanne, Twins wa Kylin , Abdiel na Regina
 
"JAMIIFORUMS ~ Where We Dare To Talk Openly" Mbona kauli mbiu hii haiendani na kilichofanyika kwenye uzi huu, comments nyingi zimefutwa kwa manufaa ya nani au watu wa St Peters pale washaingia ofisini kwenu
Sio kwenye uzi Huu tu....Jamii Forum Mods saivi hamna cha UWAZI tena...ile kusema matusi hayaruhusiwi bora wangeruhusu tu maana Mtu hutukani,unaandika unachokijua tena kwa lugha nzuri na fasaha ila wao WANAFUTA....Tupo JF kwasababu ya mazoea tu...itatokea tu Sehemu kimbilio siku 1
 
Ukiletaleta mambo ya Mange Kimambi na kuhujihoji nini kimemuua comment inefyekwa..
Toa pole tembea. Akina Mike Mushi ndo wanaoumoderate uzi huu.
Mkuu mbona humu serikali inapondwa sana mpaka rais magufuli anapondwa sana!!! Lakini vitu vinaachwa hewani...

Au marehemu alikuwa MTUKUFU saaana asisemwe!!!!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…