Ilibidi waseme hivyo but was in vacation na mke mdogo. But wonders shall never end!!! Alipokuwa ICU je mdada alijishughulisha vya kutosha kuhakikisha tiba na mambo mengine? Je alikuwepo hospital muda wote ili kama kuna emergency zaidi afuatilie? Watoto walipofika Hospital walimkuta bi mdogo pale? Alirudi baada ya muda gani? Je alikuwa wapi? Je mawasiliano ya simu baada ya watoto wakubwa kufika Dubai na kumweleza bi mdogo kuwa wako tayari Dubai ilikuwaje baadaye?
Tutajua mengi tu kati Mengi ambayo Mengi yalimkuta.
Another episode!!!