TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

FUNGENI comments kabisa watu wasichangie maana ndio mnachotaka JF iwe kama TV mtup[e tu habari tusikilize na kuangalia ila tusichangie...Tulieni hivyo hivyo nyie Mods dawa yenu wala haiko mbali
Yaaan jf imeboa sana! Mambo wanayoyabania ytube yamejaa fb ndio usiseme inst ndo mange amesara kichiz!!

Kasoro hapa jamvini !!! Kama vp hao akina mushi wazungukie huko kote wafute mambo yanayozagaa kuhusu familia TUKUFU isiyotaka kusemwa vibaya!!!
 
Ruge alisemwa mpaka akasemeka lakini bado vitu viliachwa hewani!!!!
 
Old is gold + The younger the better + Viagra + overdose = heart failure.

Kifo ni kifo lakini sababu ni nyingi.

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
FaizaFoxy nimekuelewa
 
Ri RIP
 
There must be a course for cardiac arrest/attack.

Mbona Faiza Foxy amekwisha taja baadhi ya dawa zinazo weza kusasabisha kusimamisha moyo ghafla kama una an underlying heart problems, hata vinywaji kama vile Energy drinks ukinywa kupitiliza utapatwa na matatizo kama hayo hayo.

Uwezi. amini kwamba ukitafuna karafuu kwa wingi zinaweza kusababisha umeme unaozalishwa na ubongo kuparanganyika ukakumbwa na kifafa au electrical impulses zinazo endesha moyo kutoka ubongoni zika simamisha mapigo ya moyo ukakumbwa na cardiac arrest, sijasema
watu wasitumie karafuu lakini wawe makini haswa unapo zitafuna usizidishe kiwango.
 
FUNGENI comments kabisa watu wasichangie maana ndio mnachotaka JF iwe kama TV mtup[e tu habari tusikilize na kuangalia ila tusichangie...Tulieni hivyo hivyo nyie Mods dawa yenu wala haiko mbali


Wengi mnachangia kwa wivu , uzushi na chuki kubwa kwa familia ya marehemu
 



Mbunge wa Ubungo Mh Saed Kubenea ni miongoni mwa walioshindwa kujizuia kutoa machozi baada ya kufika Nyumbani kwa Mzee Mengi kuhani msiba.

Kubenea ambaye ni mhanga wa kumwagiwa tindikali na wanaoitwa watu wasiojulikana , ni miongoni mwa marafiki wakubwa wa Mzee Mengi ambaye kunusurika kwake kupofuka macho kunao pia mkono wa mzee Mengi .
 
Daah!! [emoji22][emoji24]
Mungu amlaze anapostahili
 
Kubenea alipomwagiwa Tindikali ni Mzee Reginald’s Abaraham Mengi ndio alienda kumuona Mzee Kikwete wakakubaliana wampeleke India kupata Matibabu


Fedha ni zaid ya Ibilisi

Lakin 2015 Kubenea aliamua kushirikiana na aliekuwa anawatuhumu kumwagia Tindikali kumtukana Rais Kikwete
 
Lakini Mengi ni mtu dunia iko mkononi mwake, ni kwa nini aliamua kwenda matibabu Dubai? Hii ndio nchi yenye madaktari bingwa? Ama baada ya kufarik yabidi tuseme alikua matibabu
A kwenda matibabu walienda mapumziko ndo umauti ukamkuta huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…