TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Noted....

Jamaa alikua smart coz wahasibu bhana wakipataga fursa huwa wanazitumia vizuri. Sina huhakika kipindi chao Kama walikua na pressure ya GAG
Kwenye issue ya CAG unataka kusemaje
 
Inasemekana alikopa 100m kutoka benki kuu na alicheza na baadhi ya watumishi benki kupoteza ushahidi.
This is critical allegation

Coz CV yake inavyosomwa inaonekana jamaa alikua honest and hard worker. Raised from the humble bigning to the horizon

Hata hivyo background za matajiri wengi Kuna mahala pa U -turn za maisha yao huwa zinaacha gap ambayo maelezo huwa hayajitosherezi
 
Hivi ni sifa kila mtu mwenye mafanikio kiuchumi kusema ametokea maisha ya kimaskini. Maana imekuwa kama chorus siku hizi.
 
Hivi ni sifa kila mtu mwenye mafanikio kiuchumi kusema ametokea maisha ya kimaskini. Maana imekuwa kama chorus siku hizi.
Aaaaaaa h...

Kibongo bongo ukitaja hiyo kitu unaonekana bonge la fighter

Ila majuu kwa Dolnad Trump huo ni muujiza kutusua from the scratch.

Kule kama umezaliwa from the loyal family always u will be
 
Aaaaaaa h...

Kibongo bongo ukitaja hiyo kitu unaonekana bonge la fighter

Ila majuu kwa Dolnad Trump huo ni muujiza kutusua from the scratch.

Kule kama umezaliwa from the loyal family always u will be
Hivi Jiwe akisema aandike kitabu kama kile cha I can I must I will si itakuwa hatari maana historia yake haijanyooka kabisa hasa sababu za yeye kuondolewa seminari.
 
Nkahisi kukosekana kwa pressure za cag kukasababisha mzee alale mbele za vijisenti
Even if will be the case....

Mtu anaejilipua kupiga deal ndefu lazima awe mjasiliamali kweli kweli.

Coz sisi waoga ndo tunaokua na title za umenager lakini tukistaafu hata wajomba wanatulaumu hatukuwapeleka shule hata za kata
 
Mtu binafsi anawezaje kukopa bank kuu?
Ndio wafanyabiashara wakopaji wa mwanzo,mbona yule muhuindi alikuwa anaitwa lord rajeepar ndio aliyeanza kuvuma kwa utajiri yeye na Bhakhresa kabla ya hayati Mengi.lkn lord Rajeepar alishikiwa.
 
We wasema!!!

Mbona wengi tu seminary ziliwashinda na wakazichanga kwa plan B na maisha yakaenda!!!

Kutusua seminary is so subjective coz kuna washikaji wangu waliwahi kufukuzwa seminary kwa kumsifia sister wa kilemba amependeza....aaaaah
Hivi Jiwe akisema aandike kitabu kama kile cha I can I must I will si itakuwa hatari maana historia yake haijanyooka kabisa hasa sababu za yeye kuondolewa seminari.
 
Huyu mzee alikuwa mtanzania wa kwanza kutambulika na bodi ya wahasibu ya uingereza na pia alivyorudi Tanzania alifanya kazi ya uhasibu na baada ya miaka michache ilipoanzishwa bodi ya wakaguzi na wahasibu kwa tanzanja yeye ndie alikuwa mwanachama wa kwanza mwenye namba ya usajili 0001 baada ya kufanya na kufaulu mitihani ya cpa tanzania, Mwalimu nyerere alimpa madaraka ya kuongoza bodi ya wakaguzi na wahasibu (NBAA) mwaka 1985 akaachia ngazi mwaka 2000 na kuendelea na biashara zake.
 
Yule ni mhasibu. Ndiye alikuwa mhasibu mwenye registration no 1 kwenye orodha ya wahasibu. Ina maana yeye ndiye mtu wa kwanza kusajiliwa kama mhasibu hapa Tz na bodi ya wahasibu NBAA.
So huenda PhD yake ikawa kwenye haya haya mambo ya fedha na uhasibu (Finance and Accounts).
Udaktari wa heshima, sio wa kusomea, katika mambo ya Utu (Humanity).
 
Back
Top Bottom