ThanksHuyu mzee alikuwa mtanzania wa kwanza kutambulika na bodi ya wahasibu ya uingereza na pia alivyorudi Tanzania alifanya kazi ya uhasibu na baada ya miaka michache ilipoanzishwa bodi ya wakaguzi na wahasibu kwa tanzanja yeye ndie alikuwa mwanachama wa kwanza mwenye namba ya usajili 0001 baada ya kufanya na kufaulu mitihani ya cpa tanzania, Mwalimu nyerere alimpa madaraka ya kuongoza bodi ya wakaguzi na wahasibu (NBAA) mwaka 1985 akaachia ngazi mwaka 2000 na kuendelea na biashara zake.
Umetupa mwanga mzuri
Nimeiona fursa aliyokuwa nayo ili kutusua maishani.
Smartness, hard working, humbleness and knowledge