kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,334
- 527
Samahani wakuu naomba kujua tangu maombolezo yaanze ya ndugu yetu R. A. Mengi tar 2 mei, waziri mkuu mstaafu E. Lowassa yupo wapi mbona sijamuona hata kusikia salamu zake?
Na kama alijitokeza pengine mimi ndio sijamuona au kumsikia mniwie radhi wakuu!
Na kama alijitokeza pengine mimi ndio sijamuona au kumsikia mniwie radhi wakuu!