TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Msiba mkubwa kwa Taifa, hivi waridhi wake siwasikii wakisaidia maskini, au wosia hauskusema hivyo?
 
Gone are those days.
Rest Champs
 
VIPI KUHUSU MALI ZAKE .. JE ULE WOSIA MAHAKAMA IMEUBALIKI ? AU ZOTE ZIPO CHINI YA FAMILIA ? MAANA KILIKUWA KITUKO CHA MWAKA ETI WATAKAOPINGA WALIPWE KILO MOJA,, ELFU MOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…