Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameacha watoto 4, wawili wakubwa wa mkewe wa kwanza mmoja wa kike na mwingine wa kiume na ndio wanajishughulisha na biashara za mzee, wawili wadogo mapacha wa bi mdogo bado hawajazidi miaka 10, juzi juzi wazazi wao waliadhimisha miaka 5 ya ndoa yao,, ingawa watoto walizaliwa kabla ya ndoa.Naomba kujuzwa zaidi kuhusu familia yake, ameacha watoto wangapi? Jee wanajihusisha kwenye biashara zake au la?
Ilibidi waseme hivyo but was in vacation na mke mdogo. But wonders shall never end!!! Alipokuwa ICU je mdada alijishughulisha vya kutosha kuhakikisha tiba na mambo mengine? Je alikuwepo hospital muda wote ili kama kuna emergency zaidi afuatilie? Watoto walipofika Hospital walimkuta bi mdogo pale? Alirudi baada ya muda gani? Je alikuwa wapi? Je mawasiliano ya simu baada ya watoto wakubwa kufika Dubai na kumweleza bi mdogo kuwa wako tayari Dubai ilikuwaje baadaye?Lakini Mengi ni mtu dunia iko mkononi mwake, ni kwa nini aliamua kwenda matibabu Dubai? Hii ndio nchi yenye madaktari bingwa? Ama baada ya kufarik yabidi tuseme alikua matibabu
Dunia ina mengi na sio yote ni ya kupuuza.Ilibidi waseme hivyo but was in vacation na mke mdogo. But wonders shall never end!!! Alipokuwa ICU je mdada alijishughulisha vya kutosha kuhakikisha tiba na mambo mengine? Je alikuwepo hospital muda wote ili kama kuna emergency zaidi afuatilie? Watoto walipofika Hospital walimkuta bi mdogo pale? Alirudi baada ya muda gani? Je alikuwa wapi? Je mawasiliano ya simu baada ya watoto wakubwa kufika Dubai na kumweleza bi mdogo kuwa wako tayari Dubai ilikuwaje baadaye?
Tutajua mengi tu kati Mengi ambayo Mengi yalimkuta.
Another episode!!!
Ameacha mke (Jacqueline Ntuabaliwe) na watoto watano ambao ni Regina, Rodnay, Abdiel, Jayde na Ryan. Watoto hao amezaa na Mercy Mengi pamoja Jackline Mengi. (Copied from his history above).Ameacha watoto 4, wawili wakubwa wa mkewe wa kwanza mmoja wa kike na mwingine wa kiume na ndio wanajishughulisha na biashara za mzee, wawili wadogo mapacha wa bi mdogo bado hawajazidi miaka 10, juzi juzi wazazi wao waliadhimisha miaka 5 ya ndoa yao,, ingawa watoto walizaliwa kabla ya ndoa.
natamani niwatukane Mod ila naogopa ban, jana saa 3 usiku niliuacha uzi huu page ya 44 eti leo naukuta 34! Acheni hizo bwana....Huu uzi kuna comments zinafutwa au kuna nini,maana jana niliona uko kwenye 80p comments saiz naona 600+.Au macho yangu?
Ukweli kwa uzee huo na binti mliyepishana miaka 35 ni lazima booster zihusike na ndizo huwa zinapandisha presha mpaka kuharibu figo. Ukweli mzee alianza kudhoofu sana baada ya kuoa na asitudanganye kuwa eti binti alikuwa kumuongezea uhai? Ahhh wapi? Uhai uko wapi sasa? Tena kufia ugenini bila uangalizi mzuri wa uliyesema kuwa eti amekuja kukuongezea maisha. Pesa au maisha?Old is gold + The younger the better + Viagra + overdose = heart failure.
Kifo ni kifo lakini sababu ni nyingi.
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Edit zinafanyika kuondoa ukakasi ila ningeshauri waache ili Jack au ndugu zake wasome maana hapa JF wanasema dare talking openly ila sijui kama ni slogan mfu. Ndiyo maana vikongwe kama sisi huwa siku hizi hatuchangii sana labda iwe issue kubwa kama hii ya Mzalendo wetu Marehemu Mengi.natamani niwatukane Mod ila naogopa ban, jana saa 3 usiku niliuacha uzi huu page ya 44 eti leo naukuta 34! Acheni hizo bwana....
Wanataka kuficha nini?Au kila mtu ajadili wanachotaka kusikia wao?Uzi ulikua umetembea sana,leo naona umerud nyuma sana.natamani niwatukane Mod ila naogopa ban, jana saa 3 usiku niliuacha uzi huu page ya 44 eti leo naukuta 34! Acheni hizo bwana....
You are right ,some comments deletedHuu uzi kuna comments zinafutwa au kuna nini,maana jana niliona uko kwenye 80p comments saiz naona 600+.Au macho yangu?
Rodney alisha fariki, huyu jamaa inawezekana hii historia ya marehemu ali coppy mahali ya zamani akaongezea na mpya ya sasa., ila kama alizaa nje akaita jina hilo hilo sina uhakika nina uhakika Rodney Mutie alifariki mkuu.Ameacha mke (Jacqueline Ntuabaliwe) na watoto watano ambao ni Regina, Rodnay, Abdiel, Jayde na Ryan. Watoto hao amezaa na Mercy Mengi pamoja Jackline Mengi. (Copied from his history above).
Nisaidieni hapa nime copy na paste. Je huyu mtoto anayetajwa kuwa ni Rodnay ndiyo yule Rodney Mutie? Maana tunafahamu Mutie alishafariki ila sentensi hapa juu imesema ameacha ikimaanisha walio hai. Je Rodnay ni mtoto mwingine? Hapo tupate ufafanuzi please.
Ila kuna somewhere post zilizopita kuna member amesema kuwa Roy amejiandaa kuvurumusha au kufanya valangati fulani hivi. So nikajua kuna hiyo Roy perhaps hawajakosea.Rodney alisha fariki, huyu jamaa inawezekana hii historia ya marehemu ali coppy mahali ya zamani akaongezea na mpya ya sasa., ila kama alizaa nje akaita jina hilo hilo sina uhakika nina uhakika Rodney Mutie alifariki mkuu.
Mtu ukiwa na pesa usisahau herbal remedies na kukimbilia vitu vya kisasa, Mlonge(Moringa) ungetosha kwa hiyo kazi na angesurvive vizuri tu.Old is gold + The younger the better + Viagra + overdose = heart failure.
Kifo ni kifo lakini sababu ni nyingi.
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Labda atakuwa alizaa na mwanamke mwingine maana mama Mercy aliacha watoto wawili Abdiel na Regina wakati wa mazishi yake haya ndio yalisomwa kwenye risala, huyu Roy mwingine jibu tutapata kwenye historia ya marehemu.Ila kuna somewhere post zilizopita kuna member amesema kuwa Roy amejiandaa kuvurumusha au kufanya valangati fulani hivi. So nikajua kuna hiyo Roy perhaps hawajakosea.
ITV wameandika 1942 - 2019, nafikir ndio itakua sahihiUmri sahihi wa kuzaliwa DR Mengi aueleweki , napitia magazeti ya leo hapa na mitandao tofauti ya kijamii , ni 1942, 1944,au 1945 upi ni sahihi
Ifaidike mara ngapiSiku utakapokuja kujaaliwa akili japo kidogo sana hata familia yako huenda ikafaidi kidogo.