Mwenyekiti wa Mchengerwa Tumaini la Rufiji Movement - MTR - Juma Kiholobele amesema Wilaya ya Rufiji Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mbunge wao ambaye ni Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kwa waliyofanya katika kuwaletea maendeleo hakuna tunachowamdai
Amesema hayo akiwa huko Kata ya Mkongo wilayani Rufiji mkoani Pwani amesema katika utawala wa kuna badiliko kubwa la kimaendeleo tofauti na utendaji wa Ubunge na Urais wa awamu zilizopita
Kazi ya mbunge ni kuleta maendeleo?
Anayatoa wapu hayo maendeleo?
Anayapeleka wapi hayo marndeleo?
Kama mbunge kazi yake ni kuleta maendeleo sawa! Kwanini ANATOA PESA/ RUSHWA ILI ACHAGULIWE?
RUFIJI NI MIONGONI MWA MAJIMBO MAGUMU HAPA NCHI MCHENGERWA