Fantastic Beast
Member
- Feb 18, 2019
- 53
- 539
Sisi watanzania wazalendo hatujawahi kuona siasa za namna hii. Siasa za kufokeana fokeana badala ya kunadi sera zenu. Siasa za kuita waandishi wa habari na kufokafoka kwa mambo ambayo hayana mbele wala nyuma.
Hivyo tunawaomba sana fanyeni siasa za kisayansi. Kama hamzijui basi muigeni katibu mkuu wenu. Au waigeni wale CCM asili maana nyie CCM mpya inaonekana hamjui propaganda za siasa.
Kumbukeni kizazi cha sasa sio kama cha zamani. Nyakati zimebadilika sana, inawezekana sisi raia tuko mbele kiteknolojia kuliko nyie.
Propaganda za mwaka 90 hazina nafasi katika dunia ya sasa.